Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ni Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE) amekutana na kufanya mazungumzo na Dickon Mitchell ,Waziri Mkuu wa Mkuu wa Grenada ,jijini New York , Marekani .
Katika Mazungumzo yao Mwenyekiti wa GPE ameahidi kushirikiana na Visiwa vya Grenada ili kupatia ufumbuzi hitaji la elimu kwa njia ya mtandao (digital learning )ambalo Taifa hilo linahitaji kuwezesha upatikanaji wake kwa wanafunzi wa elimu msingi (basic education ) yaan chekechea ,msingi na sekondari
NEW YORK ; JAKAYA KIKWETE NA PMWA GRENADA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 23, 2024
Rating:
No comments:
Post a Comment