DHAMANA YA BONI YAI YAKWAMA ,KUENDELEA KUSOTA RUMANDE .











Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam ,Kisutu imeshindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la dhamana ya Meya wa  zamana wa Ubungo ,Boniface Jacob ,maarufu Boni Yai kutokana na kutokuwepo mahakamani .


Jacob ,mkazi wa Msakuzi mfanyabiashara na mwanasiasa anakabiliwa na kesi ya uchapishaji taarifa za uongo kwenye mitandao ,kinyume cha Sheria ya Makosa  ya  Mtandao namba 14 ya mwka 2015

Hivyo  Hakimu Kiwaga ameahirisha kesi hiyo mpaka Alhamis ,Septemba 26,2024 

DHAMANA YA BONI YAI YAKWAMA ,KUENDELEA KUSOTA RUMANDE . DHAMANA YA BONI YAI YAKWAMA ,KUENDELEA KUSOTA RUMANDE . Reviewed by KUSAGANEWS on September 23, 2024 Rating: 5

No comments: