Raisi Amteua IGP MANGU kuwa Balozi Rwanda

 Raisi Dkt. John Pombe Magufuli amemteua IGP Mstaafu, Ernest Mangu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu Simon Michael Mumwi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi. Mabalozi wateule hao wataapishwa kesho Machi 21, 2018, Ikulu jijini Dar.


Raisi Amteua IGP MANGU kuwa Balozi Rwanda Raisi Amteua IGP MANGU kuwa Balozi Rwanda Reviewed by KUSAGANEWS on March 20, 2018 Rating: 5

No comments: