MAHAKAMA YAMURU MWENYEKITI WA UVCCM KURIDISHWA RUMANDE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeamuru kurudishwa tena rumande hadi December 19, 2017 aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM na Mbunge wa Donge, Zanzibar Sadifa Juma Khamis.

Mwenyekiti huyu anadaiwa kukamatwa nyumbani kwake Dodoma December 9, 2017 kwa madai kwamba alikamatwa akiwapa wajumbe soda kutoka Kagera na kosa la pili aliwaahidi kuwalipia nauli.
MAHAKAMA YAMURU MWENYEKITI WA UVCCM KURIDISHWA RUMANDE MAHAKAMA YAMURU MWENYEKITI WA UVCCM KURIDISHWA RUMANDE Reviewed by KUSAGANEWS on December 11, 2017 Rating: 5

No comments: