LIVE: Mapokezi watoto waliopona ajali ya Lucky Vincent Arusha

Furaha imetawala ujio wa watoto watatu wa Shule ya Lucky Vicent  waliowasili leo Ijumaa, Agosti 18 wakitokea nchini Marekani kwenye matibabu baada ya kupata ajali Mei mwaka huu.

Wazazi na ndugu waliruhusiwa kuingia ndani ya ndege hiyo kuwapokea watoto wao ambao wamepata nafuu kwa kiasi kikubwa.

Wilson Tarimo alikuwa wa kwanza kushuka katika ndege akiambatana na mdogo wake aliyeingia katika ndege kwa ajili ya kumpokea.
TAZAMA HAPA KUSAGA NEWS LIVE
LIVE: Mapokezi watoto waliopona ajali ya Lucky Vincent Arusha LIVE: Mapokezi watoto waliopona ajali ya Lucky Vincent Arusha Reviewed by KUSAGANEWS on August 18, 2017 Rating: 5

No comments: