BOTI NA HELIKOPTA ZINAHITAJIKA KUPELEKA MSAADA WA CHAKULA KWA WANANCHI WALIOKWAMA KUTOKANA NA MAJI

Wananchi 2500 katika kaya 255 wilayani Longido Mkoani Arusha
wanahitaji msaada wa boti na Helikopta ili kupelekewa mahitaji ya Chakula baada ya kukwama kutoka kwenye nyumba zao kwa Wiki
mbili ktokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

Akizungumza Mbunge wa jimbo la Longido Dokta Steven kiruswa amesema kuwa wananchi wa kijiji cha Loimeta hawawezi kutoka kwenye nyumba zao na wanahitaji msaada wa haraka.

TAZAMA MBUNGE WA JIMBO LA LONGIDO AKIZUNGUMZA
BOTI NA HELIKOPTA ZINAHITAJIKA KUPELEKA MSAADA WA CHAKULA KWA WANANCHI WALIOKWAMA KUTOKANA NA MAJI  BOTI NA HELIKOPTA ZINAHITAJIKA KUPELEKA MSAADA WA CHAKULA KWA WANANCHI WALIOKWAMA KUTOKANA NA MAJI Reviewed by KUSAGANEWS on March 22, 2018 Rating: 5

No comments: